Watumishi wa halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa wameungana na watu wengine katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi ambayo kwa ngazi ya mkoa yamefanyika katika wilaya ya Sumbawanga.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere alikuwa mgeni Rasim, ambapo amewataka wakuu wa taasisi za umma na binfus kutoa mikataba kwa wafanyakazi kutokana na swala hilo kuwa takwa la kisheria kwa waajili wote na kuwataka watumishi kuwa wavumilivu kuhusu swala la kikokotoo kwa wastaafu kutokana na serikali kutambua na kuthamini mawazo ya wadau ambayo wamekuwa yakitolewa.
Comments
Post a Comment