serikali ya anza ujenzi bwawa la maji kijiji cha Kalemasha

Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira RUWASA imeanza ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la maji wenye thamani ya shilingi billion 1,770,686,091.83 utakao hudumia zaidi ya vijiji 5 na watu elfu kumi na mbili (12000) katika kata ya mbuluma wilayani kalambo mkoani Rukwa.

Comments