Nyumba 17 za anguka na familia 10 kukosa makazi katika kijiji cha Iwelyamvula wilaya ya Sumbwanga mkoani Rukwa

Nyumba 17 zimeanguka katika kijiji cha Iwelyamvula kata ya Kapenta wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha famila 10 kukosa makazi.

Mkuu wa wilaya hiyo Nyakia Chirukile amewatembelea waathirika wa maafa hayo na kuwataka wananachi kupanda miti kunzuka maeneo ya makazi kuepuka matukio hayo kujirudia


Comments