Zoezi La Chanjo Ya Polio Kufanyika Nyumba Kwa Nyumba Disember 1 /2022



Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Tano Mwela amewataka wananchi wilayani humo  kujitokeza kupata chanjo ya polio kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 ambayo  inatarajiwa kufanyika nyumba kwa nyumba  katika vijiji 111 vya wilaya hiyo

Aliyasema  hayo kupitia kikao cha afya ya msingi kilichofanyika wilayani humo  kwa kuhusiha viongozi wa dini , wazee maalfu pamoja na wakuu wa idara na kusisiza zoez hilo kufanyika kwa weredi na kuwafikia watoto wote ili kuendana na malengo ya serikali


Awali akiongea kupitia kikao hicho Mganga mkuu wa wilaya hiyo Dkt Emanuel Mhanda alisema  kikao hicho kimelenga kutoa elimu kwa  viongozi wa dini kutokana na kuwa na uwezo wa kuifikia jamii kwa urahisi zaidi  na kwamba zoezi hilo

Comments