NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AKAGUA KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA

 


Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Profesa. Faustin Kamuzora, akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete (kulia), wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kiwanja cha Ndege cha Bukoba, Mkoani Kagera. Kushoto ni Kaimu Meneja wa Kiwanja hicho Bi. Cecilia Kamwela.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, akizungumza na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Profesa. Faustin Kamuzora na Kaimu Meneja wa Kiwanja hicho Bi. Cecilia Kamwela wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kiwanja cha Ndege cha Bukoba, Mkoani Kagera.

 


Kaimu Meneja wa Kiwanja hicho Bi. Cecilia Kamwela, akieleza kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, maboresho mbalimbali yaliyofanyika katika jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege hicho, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kiwanja hicho, Mkoani Kagera.

 



Naibu Waziri wa UJenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, akiangalia akikagua jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege Bukoba wakati alipotembelea kiwanja hicho, Mkoani Kagera. Kushoto ni Kaimu Meneja wa Kiwanja hicho Bi. Cecilia Kamwela.

 



Kaimu Meneja wa Kiwanja hicho Bi. Cecilia Kamwela, akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, kuhsu utendaji wa Kiwanja cha Ndege cha Bukoba hicho, wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea kiwanja hicho, Mkoani Kagera.

 


Naibu Waziri wa UJenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, akitoa maelekezo kwa menejimenti na watumishi wa Kiwanja cha Ndege cha Bukoba wakati alipotembelea kiwanja hicho, Mkoani Kagera.

 


Comments