MANISPAA YA MPANDA YAUNDA KAMATI ZA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WATOTO

 Na Zillipa Joseph, Katavi

HalmashauriyaManispaayaMpandamkoaniKataviimeundakamatiza kata zakupingaukatiliwawanawakenawatotozinazojulikanakama (MTAKUWA) zitakazosaidiakutambuawatotowanaofanyiwavitendovyakikatili

Aidhakamatihizopiazinafanyakaziyakuelimishajamiijuumadharayanayotokananavitendovyaukatilikwawatotonawanawakenakuwekamazingiramazuriyakukomeshavitendohivyokatikajamii

MariethaMloziniAfisaMaendeleoyajamiiwaManispaayaMpanda, akizungumzakatikamaadhimishoyasikuyamtotowaAfrikayaliyofanyikakatikauwanjawashuleyamsingiKashaulilikatikaManispaahiyo

Amesemawanaendeleakutoaelimukwakupitiavyombovyahabaripamojanamikutanombalimbalidhidiyaukatili

Aidhaamewatakawazazikuwawaangalifu Zaidi kwawatotohasawanapoishinanduguwaukookwanikwamujibuwataarifanyingiwanazopokeazavitendovyaudhalilishajikwawatotovinafanywananduguwakaribuwafamilia

Wawenamazoeayakuzungumzanawatoto, iliwawezekufahamuyaleyanayotokeakipindiwaohawapo’ alisema

NayemratibuwaelimuJumuishimkoawaKatavi bwana Jeremiah Kikotiametajachangamotozinazowakabiliwatotowenyeulemavukuwanipamojanakuwanamiundombinuisiyorafikipamojanakutokuwanawalimuwakutoshawenyeujuzimaalum

Kikotiametajachangamotonyinginekuwanipamojanaukosefuwamafutayakujipakakwawatotowenyeualbinonaukosefuwabaiskelizamagurudumukwawalemavuwamiguupamojanavifaawezeshivyakuwasaidikusikia

Aidhaameiombajamiikuonaumuhimuwakuwasaidiawatotohaokwakujitoleailiwawezekupatamahitajiyaokwaniwaliowengiwanatokakatikafamiliazakawaidazisizonauwezowakununuavifaahivyo

AkizungumzakwaniabayamkuuwamkoawaKatavi; MkuuwaWilayayaMpanda Jamila Yusuphamesemaserikaliitahakikishawatotowanapataustawiuliokusudiwanaserikaliikiwanipamojanakuwalinda

Amesemaserikaliitasimamiahakizawatotopamojanakufuatiliamalezinamakuziyawatoto

Piaamekemeatabiayabaadhiyawazazikuvurugaushahidikatikakesizaubakajihaliinayopelekeawabakajikushindwakuchukuliwahatuastahiki

Amewatakawazazikutoaushirikianonavyombovyadolakwakesizinazohusuukatilidhidiyawatotoilikuwezeshajamiikubadilika

Vitendovyaubakajikatikamanispaa yam panda vimekuwavikiripotiwamarakwamaraambapokwamwezimmojakatiyawatotowannehadisabawamekuwawakiripotiwakubakwa

Comments