Wabunge walioteuliwa na Rais
Samia Suluhu hapo jana leo wamekula viapo vyao bungeni Dodoma, nchini Tanzania.
Miongoni mwao ni Dkt Bashiru Ally ambaye alikuwa Katibu mkuu
Kiongozi pamoja na Balozi Liberata Mulamula ambae ndio Waziri wa mambo ya nje
wa sasa.
Muda mfupi baadae mawaziri walioteuliwa watakula kiapo mbele ya
Rais Samia huko Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Hapo jana Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan alitaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango.
Na Balozi wa Tanzania
nchini Japan, Balozi Hussein Yahya Katanga kuteuliwa kushika nafasi ya Katibu Mkuu
Kiongozi.
Comments
Post a Comment