Mbunge vitimaalumu mkoani Rukwa Irine Ndyamukama akabidhi vifaa tiba katika kituo cha afya Matai wilayani Kalambo.

 

Mbunge wa vitimaalumu mkoani Rukwa Irene Ndyamkama ametoa misaada ya vitu mbalimbali katika kituo cha afya Matai ikiwemo Vyandarua 250, mashuka 100 kwa ajili ya wagonjwa pamoja na fedha kiasi cha shilingi million moja kwa ajili ya kusaidia ununuzi  wa vifaa tiba baada ya kituo hicho kuwa na uhabawa wa vifaa tiba kwa muda mrefu na kusababisha akina mama kupata usumbufu wakati wa kujifungua.


Comments