Mbunge Irene Ndyamukama akabidhi kiasi cha Shilingi milion moja (1000000/=) kusadia kupinga matukio ya ukatili

 

Mbunge wa viti maalumu mkoani Rukwa Irene Ndyamukama amekabidhi fedha kiasi cha shilling million moja (1000000/=)  kwenye idara ya maendeleo ya jamii katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo ili iwasaidie kufika maeneo yasiyo fikika kirahisi na kutoa elimu kwa  wanachi juu  ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto.

Comments