Hisia za majonzi na simanzi zatanda katika shughuli ya kuuaga mwili wa Rais Magufuli


Aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli, alikuwa muumini wa Kanisa Katoliki.

Na mara kwa mara alionekana kanisani akihudhuria ibada katika siku za Jumapili.

Kanisa la St Peters lililoko jijini Dar es Salaam ni moja ya makanisa ambapo alikuwa akienda kusali.

Na leo Kanisa hilo limeupokea mwili wake na kuuombea katika ibada ya wafu.




Kwa picha: Hali ilivyo katika uwanja wa taifa Dar es Salaam katika shughuli ya kuuaga mwili wa Hayati Magufuli

Comments