Rais Magufuli afanya uteuzi

 



Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mawaziri wawili katika Baraza jipya la Mawaziri.

Kwanza, Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Pia amemteua Dkt Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango. Mawaziri hao wateule walikuwa wakishikilia nyadhifa hizo katika Baraza la Mawaziri lililopita

Comments