Kassim Majaliwa athibitishwa kuwa Waziri MKuu



Bunge la Tanzania limemuidhinisha, Mbunge wa Ruagwa Kassim Majaliwa kwa wadhifa wa Uwaziri Mkuu.

Majaliwa amepata kura za wabunge wote 350 waliopiga kura , sawa na 100%.

Amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuamini kwa miaka mitano iliyopita na kumpa tena nafasi nyingine.

 


Comments