Timu Ya TZ Prison Kukutana Na Simba Sc Katika Dimba La Mandela.

Timu ya Tanzania Prison kutoka mkoani Rukwa inategemea kukutana na timu ya Simba Sc 22 oktoba 2020 huku mashabiki wakitakiwa kuondoa tofauti za kishabiki na kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu ya Tanzania Prisoni.

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Tanzania prisoni wamesema watahakikisha  wanashinda katika mchezo huo na kuwataka wananchi kujitokeza ili kuipanguvu timu yao.

Comments