Waziri Wa Nishati Kutua Kesho Kalambo Agost 27,2019k




Waziri wa nishati Dkt.Medadi karemani ameanza ziara yake ya kuzindua miradi ya umeme katika maeneo mbalimbali  mkoani Rukwa, ambapo kesho Agost 27 anategemea kuzindua mradi wa umeme  katika kijiji cha myunga wilayani  kalambo.

Hata hivyo akiwa wilayani Nkasi mapema Agost 26 amezindua mradi wa maji katika vijiji vya Mkomolo na karungu wilayani humo na kuwagiza wakandasi wanaoendelea kutekeleza usambazaji wa miradi hiyo mkoani hapa kusambaza umeme bila kuacha nyumba hata moja na kufIkia disember 2019 wawe wamekamilisha zoezi hilo.


Comments