UN Women waiomba Tanzania kutoa elimu huduma za biashara

Shirika la kimataifa linaloshughulikia masuala ya wanawake (UN Women) limeiomba Serikali ya  Tanzania kutoa elimu na huduma za biashara kuanzia ngazi ya kata na halmashauri ili kuwainua kiuchumi
UN Women waiomba Tanzania kutoa elimu huduma za biashara

Comments