SHIRIKA LA BETHANI LAJA NA MKAKATI MPYA WA KUPAMBANA NA WATOTO WA MITAANI.

katika picha  ni John Mbala mmoja  wa  wawezeshaji  kutoka shirika  Bethania akitoa elimu  kwa  wanananchi wilayani kalambo


Shirika  la Future and hope-Bethania homes – Sumbawanga limeanza  rasmi  mpango wa kutoa elimu ya utatuzi wa migogoro katika familia,haki na wajibu  wa watoto ,makuzi na malezi ya mtoto  katika  wilaya ya kalambo mkoani Rukwa na huku lilikisistiza zaidi wazazi na walezi kuwalea watoto wao katika mazingira mazuri.
KATIKA PICHA NI BAADHI  YA  WANANCHI WAKIPATIWA  ELIMU

Comments