MPYA .Ded Kalambo Akabidhi Vifaa Vya Michezo Kwa Watoto Yatima.





Mkurugezi mtendaji wa halmashauri ya Kalambo amekabidhi vifaa vya michezo kwa watoto  wanaioshi katika mazingira magumu walioibuliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la BETHANIA HOMES.
KATIKA PICHA NI MKURUGEZI MTENDAJI  MSONGERA PALELA AKIKABITHI VIFAA VYA MICHEZO

Comments